WANACHAMA wa Tanzania Musicians Network (TAMUNET) mnakaribishwa kushiriki katika tamasha la 9 la MASA litakalokuwa Abidjan Ivory Coast kati ya tarehe 5-12 March 2016. Kwa maelezo zaidi wasiliana uongozi kupitia 0713274747 au 0763722557. Au wasiliana kupitia musicnettz@gmail.com
No comments:
Post a Comment