MPIGA TUMBA MAARUFU MCD (SOUD MOHAMMED SAID) AMEFARIKI DUNIA
KWA MAELEZO YALIYOTOLEWA PUNDE NA MENEJA WA AFRICAN STARS
BAND TWANGA PEPETA, HASSAN REHANI, MPIGA TUMBA MAARUFUSOUD MOHAMMED SAID MAARUFU KAMA MCD
AMEFARIKI DUNIA USIKU HUU HABARI KAMILI ZITAFUATA
R.I.P MCD
ReplyDelete