Monday, October 30, 2017
Waziri Mwakyembe azindua Maonyesho ya Mashujaa na Mapambano ya kupata Uhuru
Thursday, October 26, 2017
Monday, October 16, 2017
UHURU FM WALIPOLIAMSHA DUDE JANA KWENYE VIWANJA VYA MWEMBEYANGA, TEMEKE, KATIKA TAMASHA LA 'GUSA MAISHA YAKE' KUMUENZI BABA WA TAIFA HAYATI MWALIMU NYERERE
![]() |
| Mwanamuziki wa muziki Isha Mashauzi akipagawisha mashabiki, katika Tamasha la 'Gusa Maisha yao' lililofanyika leo kweneye Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo liliandaliwa na Uhuru FM katika kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Nyerere |
![]() |
| Mwanamuziki wa muziki Isha Mashauzi akipagawisha mashabiki, katika Tamasha la 'Gusa Maisha yao' lililofanyika leo kweneye Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo liliandaliwa na Uhuru FM katika kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Nyerere |
Tamasha la Muziki Mnene laacha historia Jijini Mwanza
Binagi Media Group
Mkali wa Singeli, Msaga Sumu akidondosha burudani kwenye jukwaa la Mziki Mnene CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Maelfu ya wapenzi
wa burudani Jijini Mwanza jana wamefurahia tamasha la Mziki Mnene
linaloandaliwa na EFM radio na ETV za Jijini Dar es salaa ambapo wasanii
mbalimbali akiwemo Kala Jeremiah walipata shangwe kubwa kwenye tamasha hilo
lililofanyika uwanja wa CCM Krumba.
Wasanii
wengine waliokonga nyoyo za mashabiki zao ni TID, Snura, Young Killer, Baraka
Da Prince, Shoro Mwamba pamoja na Msaga Sumu huku Stone Fire akiibuka mkali wa
Singeli Michano Mwanza baada ya kuwabwaga washiriki zaidi ya 20.
Afisa Uhusiano
wa EFM Radio, Jesca Mwanyika anasema tamasha hilo mbali ya kuwa ni sehemu ya
shukurani kwa wasikilizaji wa redio hiyo pamoja na watazamaji wa TVE, pia
limelenga kuibua na kuendeleza vipaji vya wasanii hususani wa Singeli.
Tayari
limekwisha fanyika katika mikoa mbalimbali ikiwemo Dar es salaam, Mtwara na
Mwanza na kwamba litaendelea katika mikoa mingine hivyo mashabiki wa burudani
waendelee kufuatilia EFM Radio na TVE kwa taarifa mbalimbali ikiwemo tamasha la
Mziki Mnene linalopewa nguvu na Biko pamoja na Cocacola.
Mkali wa Singeli, Msaga Sumu akidondosha burudani kwenye jukwaa la Mziki Mnene CCM Kirumba Jijini Mwanza.Sunday, October 15, 2017
Saturday, October 14, 2017
TANZANIA WOMEN'S BANK YASHIRIKI KIKAMILIFU SIKU YA VICOBA TANZANIA
Banda la TWB au Tanzania Women's Bank lilikuwa moja ya mabanda ambayo yalikuwa mstari wa mbele kuhusu kutoa elimu stahiki kwa watumiaji wa benki hiyo katika siku hii ya Vicoba Tanzania. Vijana wachangamfu waliokuweko katika banda hili walikuwa tayari kutoa elimu yoyote ambayo mtu alitaka kupata kuhusu shughuli ya benki hii ya wote.
Subscribe to:
Comments (Atom)












