Tuesday, April 15, 2014

KUMBUKUMBU YA MZEE GURUMO


Sunday, April 13, 2014

MAZISHI YA MZEE MUHIDIN GURUMO KUWA KESHO JUMANNE -15/4/2014

Mazishi ya Mzee Gurumo kuwa kesho kijiji alichozaliwa huko Masaki. Mwili wa Mzee Gurumo utaondoka kwake Mabibo kesho asubuhi saa nne kuelekea kwenye Masaki

MZEE MUHIDIN HATUNAE TENA


Mwanamuziki nguli na muimbaji wa miaka mingi Mzee Muhidi Maalim Gurumo hatunae tena. Mzee Gurumo amefariki alasiri hii katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Mungu amlaze Pema Peoni Amin